The Character of False Teachers. Galatians 5:7-9

Galatians  •  Sermon  •  Submitted   •  Presented
0 ratings
· 2 views

The character of false teachers

Notes
Transcript

FURAHA KUONA WOTE TENA

Tumefurahi sana kurudi tena hapa na kuwa pamoja tena. Kweli imekuwa mrefu kidogo lakini imekuwa mzuri sana. Sisi tumepumzika kidogo na pia tumesafiri kuongea na makanisa na kutangaza habari ya kanisa hili na kazi ya mission. Kusema ukweli watu wameshangaa sana na wingi wanaombea kanisa hili na kazi ya hii mission. Pia sisi tumeketi kanisani jumapili mingi na tumefundishwa vizuri hata roho zetu zililishwa sana, kusema ukweli tumejaa.
Sarah akosawa, ni ngumu kurudi bila yeye lakini anaendelea vizuri na anafanya kazi na amesema kusalimia ninyi yote na bado hapa ni nyumbani kwake. Tafadahli endelea kumwombea yeye. Lakini hata yeye ako kwa kanisa nzuri sana na wanafundisha ukweli wa neno la Mungu. Pia anaishi na Pat na Kathi.
Kila jumapili wakati niliamuka nilienda kwa facebook na niliangalia kweli kweli ministry na nimeona wakati uliimba na mtu ambaye alihubiri neno la Mungu. Ilipendeza moyo wangu kila jumapili kuona Jonathan na Gilbert and Dominic wakati walifundisha neno la Mungu, kila jumapili nilimwambia Laura, bila shaka hakuna kanisa lingine kwa hii region iko na mtu kusimama na kufundisha bibilia kama hawa wanafundisha. Nimefurahi kabisa, sisi hapa kusema ukweli nimeona tumebarikiwa sana na watu ambao wako na moyo wa kufundisha na wanaweza kufundisha neno la Mungu. Nataka kusema asanteni sana kwa hawa ambao walisimama hapa kila jumapili na walikuwa waminifu kukuambia ukweli kama Mungu aliandika.
Wakati nilipanga na hawa watafundihsa nini kwa hii wiki ishirini mimi nitakuwa Amerikani tulichagua kitabu cha Galatia, kwa sababu ilikuwa na jumapili ishirini, lakini hawa walianza kufundisha na waliona ndani ya mistari ya Wagalatia ni mambo mingi, hii ni sababu utaona jumapili moja labda ni mstari moja ama mbili utasoma. Mafundisho ambaye tunafanya hapa ni ngumu kupata siku hizi, si haoa tu lakini duniani nzima. Watu wengi wanapenda sana kuongea kuhusu kitu kama upendo au imani au tumaini na wanapata mistari kuonyesha kama wanasema, mara kwa mara hii iko sawa lakini neno la Mungu imeandikwa na Mungu na ni muhimu sisi tunaeleza watu wake kama yeye anataka kusema si sisi. Kufundisha kila mstari ya kila kitabu ni muhimu. Nafikiri mtu moja alisema alifundisha kitabu cha Galatia kwa jumapili tano. Na watu ambao wanaketi kwa kanisa lile wamepata nini? Pastor mwengine aliuliza Jonathan anafunzwa wapi kujua kufundisha kama anafundisha? Tena nataka kusema kwenu ninyi uko na baraka hapa, kwa sababu uko na nafasi kujua neno la mungu kweli kweli na si neno la pastor fulani. Unaweza kuwa na uhakika kwamba Bibilia ni ukweli na kusiamam juu yake.
Nilijua wakati nitarudi mimi nitingia masomo yetu ya Yohana tena, lakini kwa sababu hawa wamefundisha vizuri sana bado tutakuwa kwa kitabu cha Wagalatia na mimi na Jonathan tutamaliza kitabu hiki pamoja.
Natumaini sana ninyi umeanza kuona mandhari ya kitabu cha galatia. Manthari ya kitabu cha Galatia ni kuhesabiwa haki kwa imani. Umeona Paulo kujitetea kama yeye ni mtume wa Yesu Kristo w mlgo wa kwanza na ya pili. Hii ilikuwa muhimu kwa sababu walimu wa uongo wanajaribu kuingia na kuharibu watu wa kanisa kama walifanya kwa wakorintho. Na walifanya hii kwa njia ya kuharibu Paulo na sifa zake ya kuwa mtume. Pia umeona torati au sheria haiwezi kuhalalisha mtu Wagalatia 2:16 hali tukijua ya kuwa mwanadamu hahesabiwi haki kwa matendo ya sheria, bali kwa imani ya Kristo Yesu. Kwa watu ambao wanajaribu kupata wokovu kwa njia ya sheria wako na shida kubwa sana kwa sababu inakuja kwa njia ya Yesu Kristo Pekee. Hata uliona kwa vs.19 Maana mimi kwa njia ya sheria naliifia sheria ili nimwishie Mungu. Sisi tuliifia sheria kwa sababu vs. 20 ya sema Nimesulibiwa pamoja na Kristo; lakini ni hai;
Umeona Abrahamu alihesabiwa haki na sisi wakristo ni watoto wake kwa njia ya roho matakatifu na kwa sababu hii tumebarikiwa na laizma watu ambao wamehesabiwa haki wataishi kwa imani yao. Na mambo mingi mengine umeona na bado tuko na mambo mingi kwa kitabu hiki.
Wiki iliopita Jonathan alimaliza na mlango wa tano vs.2-6 na tumeona Walimu wa uongo wanajaribu kufundisha nini, na ilikuwa jambo la kutahiriwa. Kwa wayahudi hii ilikuwa kitu kubwa sana, na kujaribu kusema hii ni lazima ni kuonyesha bado wanajaribu kufuata sheria kupata wokovu. Tunaona vs.2 Tazama, mimi Paulo nawaambia ninyi ya kwamba, mkitahiriwa, Kristo hatawafaidia neno. Hii ni sheria na haiwezi kusaidia na vs.4 Mmetengwa na Kristo, ninyi mtakao kuhesabiwa haki kwa sheria; mmeanguka na kutoka katika hali ya neema. Unajua sheria na neema ni maneno mbili tofauti sana, ni kama kusema hii ni nyeupe na hii ni nyeusi. Hata leo asabuhi nataka kusema ikiwa wewe uko hapa na unajaribu kuongeza kitu au kufuata mfumo fulani kupata wokovu hii ni kama unafuata sheria kupata wokovu na haiwezikani.
Halafu mstari ya mwisho wiki iliopita Paulo anasema kitu ambacho bila shaka ilishangaza hawa vs.6 Maana katika Kristo Yesu kutahiriwa hakufai neno, wala kutokutahiriwa, bali imani itendayo kazi kwa upendo. Katika Yesu Kristo si sheria lakini ni upendo, na imani yetu inafanya kazi yake wakati tunapenda.
Halafu tunafika mistari yetu ya leo vs.7-9. Mlikuwa mkipiga mbio vizuri; ni nani aliyewazuia msiitii kweli?  Kushawishi huku hakukutoka kwake yeye anayewaita ninyi. Chachu kidogo huchachua donge zima.
Related Media
See more
Related Sermons
See more